Russia imedai kwamba Marekani inahusika na shambulizi la ndege isiokuwa na rubani linalodaiwa kulenga kumuua Putin

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.