Beyonce' anaanza ziara ya muziki kimataifa huko Sweden inayokwenda na #RENAISSANCEWorldTour sambamba na uzinduzi wa albam yake Renaissance

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.