Dunia inaadhimisha siku ya Fistula huku kampeni zinafanyika kwa jamii kuhamasisha ufahamu, matibabu na nini kifanyike kuepuka Fistula
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.