Chama cha walemavu wa ngozi nchini Malawi kinatoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kukomesha mashambulizi dhidi ya Albino nchini humo

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.