Waandamanaji wapambana na polisi katika miji kadhaa ya Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Waandamanaji waliokuwa wakirusha mawe wamepambana na polisi katika miji kadhaa ya Kenya Jumatano wakati wa duru ya pili ya maandamano chini ya wiki moja.