Baadhi ya marais wa Afrika hawatahudhuria mkutano wa Russia, Moscow inadai kwamba mkutano unavurugwa na nchi za magharibi
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.