Ndoa za mapema na ukeketaji wa wasichana zadaiwa katika maeneo ya Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Mashirika yanayoangazaia masuala ya afya ya uzazi nchini Uganda yanasema changamoto zinaongezeka kuhusiana na ndoa za mapema na ukeketaji wa wasichana katika maeneo ya Tooro na Kabarole.