DRC kuhamisha ubalozi wake wa Israeli kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem
Your browser doesn’t support HTML5
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo itahamisha ubalozi wake wa Israeli hadi Jerusalem kutoka Tel Aviv, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alisema Ijumaa.