Utawala wa kijeshi Burkina Faso wawakamata na kuwahojji maafisa wanne
Your browser doesn’t support HTML5
Burkina Faso ilisema siku ya Alhamisi kuwa maafisa wanne wametiwa ndani, siku moja baada ya serikali ya kijeshi kutangaza kuwa imezima jaribio la mapinduzi.