Dunia inaadhimisha siku ya uhamasishaji wa kutotumia vurugu ili kuimarisha amani huku wakaazi wa DRC wanaiona siku hii kwa mtazamo tofauti

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.