Ukeketaji wasichana na ndoa za utotoni bado zinaendelea kufanyika licha ya serikali ya kenya kupiga marufuku na kutoa adhabu kwa wanaohusika
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.