Utaratibu wa kuanza kuwaachilia mateka wanaoshikiliwa na Hamas umecheleweshwa hadi Ijuma, Qatar inasema Hamas haijatia saini hati za mwisho
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.