Habari zilizofuatiliwa sana vyombo vya habari vya kimataifa na barani AFrika ni mkutano wa hali ya hewa COP28 unaoendelea huko Dubai, UAE.

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.