WHO inasema nchi tano za mashariki na Kusini mwa Afrika ikiwemo Kenya zinakabiliwa na mlipuko wa ugonjwa wa Kimeta yaani Anthrax.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.