DRC: Kampeni za mwisho mwisho kwelekea kwa uchaguzi mkuu Jumatano

Your browser doesn’t support HTML5

Kampeni za mwisho mwisho zilifanyika Jumatatu kwelekea kwa uchaguzi mkuu Jumatano huku kukiwa na wasiwasi kama zoezi hilo litakuwa la haki na salama.