Gavana wa zamani wa jimbo la New Jersey nchini Marekani Chris Christie ametangaza kusitisha kampeni za urais kupitia chama cha Republican

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.