Filamu ya Bobi Wine ya The People's President haikupata ushindi wa Tuzo za 96 za Oscars lakini amejijengea hatua nzuri kwa siku zijazo
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.