Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed yupo Kenya kwa ziara ya kiserikali inayolenga kuimarisha ushirikiano baina ya nchi ya Ethiopia na Kenya
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.