Taasisi isiyo ya kiserikali ya Swahilipot Hub ya Mombasa huko Kenya na namna inavyotumia Kiswahili kuwahamasisha vijana katika utalii.
Your browser doesn’t support HTML5
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.