Maandamano yaliyopewa jina la "People's March" yalianza kutoka uwanja wa Franklin na kupita kati kati ya jiji la Washington hadi uwanja mkubwa mbele ya makumbusho ya Lincon.
Maandamano ya "People's March" kabla ya kuapishwa Trump
Maelfu ya watu wahudhurua mkutano wa People's March Washington
Walinda mazingira kwenye maandamano ya "Peoples March' Washington
Muandamanaji akiwa na nguo iliyoandikwa Palestina Huru wakati wa maandamano ya "People's March" Washington
Maandamano ya "People's March" yanza kutoka uwanja wa Farugaut, Washington
Maandamano ya People's March Washington DC, 2025
Waandamanaji kwenye uwanja wa Lincon, Washington
Maandamano ya People's March yaanza kutoka uwanja wa Farragut, Washington