Vifaa vyenye teknolojia ya kisasa vinawasaidia walemavu katika maisha ya kila siku.
Your browser doesn’t support HTML5
Teknolojia saidizi ni vifaa, programu, au vifaa vinavyowasaidia watu wenye ulemavu kufanya kazi zao za msingi za kila siku. Vifaa hivi ni pamoja na viti vya magurudumu, miwani inayokupa nguvu ya kuona vitu, vifaa vinavyowekwa masikioni, viungo bandia na vya kidigitali kama vile simu za mkononi.