Baadhi ya Masuala muhimu yaliyojitokeza wakati Trump na Netanyahu walipokutana

Baadhi ya Masuala muhimu yaliyojitokeza wakati Trump na Netanyahu walipokutana

Marekani Kulisimamia eneo la Gaza kuondoa mabomu

Sera ya Rais wa Marekani Donald Trump huko Gaza

Netanyahu aeleza amani kati ya Israel na Saudi Arabia

Netanyahu aunga mkono kuachiliwa huru mateka

Rais wa Marekani Donald Trump Jumanne alikutana na Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu huko White House kujadili masuala kadhaa, ikiwemo sitisho la mapigano Gaza ambapo Israel ilikuwa katika vita na wanamgambo wa Hamas. Hizi ni baadhi ya nukuu muhimu.⁣