Misri kuwa mwenyeji wa Kombe la Afrika 2019

Timu za Misri na Cameroon katika mashindano ya Kombe la Afrika 2017.

Misri itakuwa mwenyeji wa fainali za Kombe la Afrika mwaka huu zitakazofanyika kuanzia Juni 15 hadi Julai 13, shirikisho la kandanda barani Afrika, CAF,