JARIDA LA WIKIENDI: Machafuko DRC yasababisha mamia kukoseshwa makazi

Your browser doesn’t support HTML5

Machafuko huko Mashariki mwa DRC yamesababisha mamia ya watu kuuawa na wengine kukimbia makazi yao na kuwa wakimbizi wa ndani. Baadhi ya watu pia kutekwa nyara na wengine kukamatwa wakiwemo raia wa kigeni