JARIDA LA WIKIENDI: Migogoro katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaathiri uchumi

Your browser doesn’t support HTML5

Jumuiya ya Afrika Mashariki inakabiliwa na migogoro ya kati ya mataifa wanachama, baadhi ya migogoro hiyo inasababisha mizozo inayo hatarisha ustawi na uchumi. Marais wa nchi mbalimbali wamejitolea kutafuta muafaka lakini bado hali ni tete.