JARIDA LA WIKIENDI: Mjadala wa maadhimio ya mkutano wa Umoja wa Afrika

Your browser doesn’t support HTML5

Linaangazia mjadala kuhusu mkutano wa Umoja wa Afrika uliofanyika na maazimio yake wakati bara la Afrika linakabiliwa na mizozo ya kivita na wakati huo huo kujikimu wenyewe bila ya kutegemea misaada ya nje.