JARIDA LA WIKIENDI: Mkutano wa RSF wazusha hisia kali na maswali

Your browser doesn’t support HTML5

Mkutano wa kundi la RSF kutoka Sudan uliofanyika nchini Kenya umezua hisia kali, maswali mengi kuhusu mikutano ambayo inanuia kuunda serikali nyingine. Wiki hii tunaangazia hatua ya Kenya kuruhusu mikutano hiyo kuendelea na athari zake kwa juhudi za amani nchini Sudan