Misri: Mazishi ya watu 41 waliofariki katika ajali ya moto yafanyika

Your browser doesn’t support HTML5

Mazishi ya watu 41 waliofariki katika ajali ya moto ndani ya Kanisa la Coptic yamefanyika kwenye makanisa mawili mjini Cairo, Misri. Sababu za ajali hiyo zinatokana na hitilafu ya mfumo wa umeme.