Muigizaji wa Filamu iliyodhaminiwa na Russia apokea vitisho

Your browser doesn’t support HTML5

Muigizaji kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati aliyeshiriki filamu ya Russia inayoonyesha picha chanya kwa vitendo vya mamluki wa Russia barani Afrika apokea vitisho.