Rais Trump asema anataka Marekani ichukue umiliki wa Gaza

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Donald Trump amesema anataka Marekani ichukue umiliki wa Gaza ikiwa ni msimamo baada ya taarifa zake za awali za kuwalazimisha wakazi wa Gaza kuhamishiwa nchi jirani.

Umoja wa Mataifa unataka uwanja wa ndege kufunguliwa mashariki ya Goma.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari