Wakati utawala wa rais mteule Trump unajumuisha maelfu ya wateuliwa, watu aliowapendekezwa kuunda baraza la mawaziri ni muhimu zaidi.
Tazama baadhi ya wajumbe muhimu wa baraza la mawaziri la Donald Trump
Tazama baraza la Mawaziri la Donald Trump
Marco Rubio
Waziri wa Mambo ya Nje
Robert F. Kennedy Jr.
Waziri Afya na Huduma za Binadamu
Pete Hegseth
Waziri wa Ulinzi
Pam Bondi
Mwanasheria mkuu
John Ratcliffe
Mkurugenzi wa CIA
Tulsi Gabbard
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Taifa