Trump asema Ukraine iko tayari kurejea kwenye meza ya mazungumzo

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne katika hotuba yake bungeni alisema amepokea barua kutoka kwa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, ikisema Ukraine iko tayari kurejea kwenye meza ya mazungumzo.

Barua hiyo imesema Ukraine iko tayari kujadili kumaliza vita vya miaka mitatu vya Russia dhidi ya Ukraine, Sikiliza ripoti kamili...