Ugonjwa wa kifafa na changamoto zake katika jamii.
Your browser doesn’t support HTML5
Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema watu milioni 50 duniani wanaugua ugonjwa wa kifafa na takribani asilimia 80 kati yao wanaishi katika nchi zenye kipato cha chini na cha kati ambapo kuna upatikanaji mdogo wa dawa.