Wanafunzi wa Nigeria waeleza jinsi walivyo kimbia vita kuokoa maisha yao

Your browser doesn’t support HTML5

Dkt Nowak, mtetezi wa haki za binadamu anayeishi Poland aeleza kile kilichomsukuma kuwasaidia wale walioathiriwa na vita vya uvamizi wa Russia.

Naye Profesa katika chuo kikuu Poland Omotosho aeleza jinsi jumuiya ya Wanigeria nchini Poland ilivyokabiliana na tatizo la wale waliokuwa wanakimbia vita Ukraine.