Rais wa Marekani Donald Trump Jumanne alikutana na Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu huko White House kujadili masuala kadhaa, ikiwemo sitisho la mapigano Gaza ambapo Israel ilikuwa katika vita na wanamgambo wa Hamas. Hizi ni baadhi ya nukuu muhimu.