ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Mamia ya wanaharakati wa mazingira waliandamana Nairobi nchini Kenya wakitaka hatua zichukuliwe kuzuia uzalishaji wa plastiki
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.