ratiba ya matangazo
16:30 - 17:00
Rais Biden ni mwenyeji wa viongozi kutoka bara zima la Afrika wakiwa mjini Washington kwa mkutano wa viongozi wa Afrika na Marekani
Mkutano huo utaonyesha dhamira ya kudumu ya Marekani kwa Afrika na utasisitiza umuhimu wa uhusiano kati ya Marekani na Afrika na kuongeza ushirikiano katika vipaumbele vya pamoja vya kimataifa katika kukabiliana na changamoto za haraka zaidi na kuchukua fursa tunazokabiliana nazo sote
19:30 - 19:59
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amesema kondom za bure zitapatikana katika maduka ya dawa kwa mtu yeyote hadi miaka 25 kuanzia mwaka 2023
Hatua hiyo mpya inakuja wakati kasi ya magonjwa ya zinaa na mfumuko wa bei vikiongezeka nchini Ufaransa. Wasichana na wanawake tayari wanapatiwa dawa za bure za uzazi wa mpango nchini Ufaransa.