ratiba ya matangazo
06:00 - 06:30
Marekani yasema yawekea vikwazo mtandao mpana wa taasisi, makampuni na watu binafsi, inaosema unafadhili wanamgambo wa al-Shabaab
Afisi ya Wizara ya Fedha ya Marekani inayohusika na Udhibiti wa Mali za Kigeni (OFAC), Jumatatu imeyawekea vikwazo mashirika 16 na watu binafsi, ambao inasema wanahusika katika mtandao mpana wa biashara unaozunguka Pembe ya Afrika, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Cyprus.
19:30 - 19:59
Wizara ya fedha Marekani imewawekea vikwazo watu 16 na taasisi katika pembe ya Afrika na Mashariki ya Kati
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.