Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Akiendelea na ziara yake nchini DRC, kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki Papa Francis amewataka vijana "kutojiingiza katika uovu."
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.