ratiba ya matangazo
19:30 - 19:59
Kaimu Rais wa Chad Mahamat Idriss Deby atangaza nia yake ya kuwania urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.