ratiba ya matangazo
06:00 - 06:29
Marekani: Mamlaka za Baltimore zasitisha shughuli za kutafuta manusura wa ajali ya meli
Gavana wa Jimbo la Maryland, Wes Moore, ameweka wazi kuwa hapakuwa na kitendo chochote cha kigaidi baada ya daraja kuu katika mji wa Baltimore kubomoka Jumanne asubuhi wakati meli iliyobeba mizigo kugonga nguzo yake.
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Uingereza kutoa pauni 3,000 kwa wahamiaji watakaojitolea kupelekwa Rwanda kwa hiari.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.