ratiba ya matangazo
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na mpinzani wake Machar wamekubaliana kuundwa komandi ya pamoja ya kijeshi
Viongozi hasimu wa Sudan Kusini Rais Salva Kiir na Riek Machar katika kile ambacho kimepongezwa ni mafanikio makubwa walikamilisha makubaliano Jumapili kuhusu kipengele muhimu cha kijeshi katika mkataba wa amani uliokwama na kuapa kunyamazisha bunduki zao
Tuzo za Grammy zafanyika Las Vegas, Nevada, Marekani
Tuzo za Grammy za 64 zimefanyika Jumapili, Las Vegas, Nevada, ambapo wanamuziki mbalimbali walipata tuzo kwa nyimbo ao zilizofanya vizuri. Timu nane za Afrika zikiwemo mbili kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, Simba ya Tanzania na TP Mazembe ya DRC zaingia robo fainali ya Kombe la Shirikisho Arika.
Waasi wa M23 wasimamisha mapigano nchini DRC
Waasi ambao wamekuwa wakipambana na jeshi la Congo, FARDC, wametangaza kusimamisha mapigano. Bunge la Tanzania, kuanza kuonyeshwa moja kwa moja kupitia televisheni baada ya kutofanyika hivyo kwa miaka kadhaa. Wananchi walio kimbia mapigano ya vikosi vya serekali ya Ethiopia, na Tigray wataabika.