ratiba ya matangazo
WHO: Watu bilioni 1 wana matatizo ya akili hasa vijana wenye umri wa kati ya miaka 11 na 20
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Mamia ya watu wameandamana mjini Nairobi kupinga mswada wa sheria ya fedha ya 2023
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Russia yanasema karibu nyumba 600 zimesombwa na maji baada ya shambulio katika kituo cha bwawa la Umeme Kakhovskaya
Hali ya hatari na dharura imetangazwa katika wilaya ya Nova Kakhovka, kwa mujibu wa shirika la habari la Russia linalomilikiwa na serikali Tass kutokana na bwawa kubwa katika kituo cha kuzalisha umeme kwa njia ya maji kushambuliwa katika eneo hilo na kusababisha mafuriko makubwa.