ratiba ya matangazo
19:30 - 20:29
Dunia yasherehekea siku ya Kiswahili Duniani kwa kuhakikisha lugha inaenea katika enzi ya kidijitali
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.