Mwishoni mwa wiki wanamgambo wanaosadikiwa kuwa al- shabab walivamia maduka ya kifahari ya westgate mall mjini Nairobi. watu zaidi ya 60 wamekufa na wengine zaidi ya 175 wamejeruhiwa.
Wanamgambo wa kiislamu wavamia maduka ya westgate Nairobi

5
Stephen , katikati, aliyempoteza baba yake katika shambulizi kwenye maduka ya westgate mall akifarijiwa na ndugu wakati akisubiri uchunguzi wa mwili wa baba yake.

6
Raia waliokuwa wamejificha ndani wakati wa mashambulizi ya risasi walifanikiwa kutoka katika maduka ya westgate mall mjini Nairobi Septemba 21, 2013.

7
watu wakikimbia kutoka kwenye maduka ya kifahari ya WestGate Mall mjini Nairobi, Septemba, 21 2013.

8
Watu wakiwa wametoroka katika eneo la westgate mall mjini Nairobi, September 21, 2013.