Vijana wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wafamikiwa kuilaza Moroko bao moja kwa bila na kuliongoza kundi la C baada ya Ivory Coast mabingwa wa Kombe la Afrika kwenda sare na Togo.
Michuano ya siku ya tatu ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2017

1
Junior Kalonji wa DRC akipambana na Ghanem Saiss wa Moroko katika mchuano wao wa kwanza kwenye uwanja wa Oyrm, Gabon wakati wa finali ya CAN 2017 Januari 16 2017.

2
Wachezaji wa timu ya DRC .

3
Florent Ibenge, kocha wa DRC akizungumza na waandishi habari kabla ya timu yake kupambana na Moroko mjini Oyem, Gabon, Januari 15, 2017.

4
Mchuano kati ya Burkina Faso na Cameroon katika kundi A mjin Libreville, Gabon Januari 14, 2017.