Uchaguzi unafanyika wakati wa mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19, na kugubikwa na wasiwasi wa ghasia pindi matokeo hayataridhisha upande wowote kati ya wagombea wawili wanaoongoza.
Uchaguzi Mkuu Burundi wafanyika wakati janga la corona likiendelea
Karibu wa-Rundi elfu tano wanashiriki katika uchaguzi mkuu wa kwanza wenye ushindani tangu kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 1998. Uchaguzi huu unafikisha ukingoni utawala wa miaka 15 wa Rais Pierre Nkurunziza.

5
Watu wamesimama katika mstari mrefu wakisubiri kupiga kura mjini Ngozi Burundi

6
Rais Pierre Nkurunziza akiwasili kupiga kura mjini Ngozi, Burundi Mai 20, 2020

7
Wapiga kura wanawa mikono wakati wa uchaguzi mkuu mjini Gitega, Burundi

8
Rais Pierre Nkurunziza asubiri kupiga kura katika mji wa Ngozi, Burundi Mai 20, 2020