Katika nchi nyingi, kutokana na amri ya kutotoka nje waumini wamesali Eid nyumbani ingawa kuna baadhi ya nchi za Asia na Afrika ambako masharti yameanza kulegezwa wamekwenda misikitini kusali.
Waislamu duniani washeherekea Eid al-Fitr bila shamrashamra
Waislamu katika pembe mbalimbali za dunia washeherekea Eid al-Fitr kwa njia ya kipekee kuwahi kushuhudiwa kutokana na janga la virusi vya corona.

5
Familia ya Farood Ahmed wasali nyumbani sala ya Eid al-Fitr katika mtaa wa Surbiton, London

6
Waislamu wasofuata masharti ya kutokaribiana katika msikiti wa Medan, Sumatra kaskazini, Indonesia

7
Waislamu katika msikiti mjini Sidoarjo, Java Mashariki, Indonesia wakati wa sala ya Eid al-Fitr

8
Waumini wakifuata masharti ya kutokaribiana wakisali Eid nyumbani mjini Nairobi, Kenya.