Katika nchi nyingi, kutokana na amri ya kutotoka nje waumini wamesali Eid nyumbani ingawa kuna baadhi ya nchi za Asia na Afrika ambako masharti yameanza kulegezwa wamekwenda misikitini kusali.
Waislamu duniani washeherekea Eid al-Fitr bila shamrashamra
Waislamu katika pembe mbalimbali za dunia washeherekea Eid al-Fitr kwa njia ya kipekee kuwahi kushuhudiwa kutokana na janga la virusi vya corona.

1
Sala ya Eid nje ya mskiti mkuu wa Moscow, Russia

2
Waumini wasali Eid al-Fitr barabarani nje ya msikiti mkuu wa Moscow

3
Waumini wanasali sala ya Eid al-Fitr mjini Nairobi katika kipindi cha janga la corona

4
Watu wakitembezwa kusheherekea Eid katika mji wa Idlib Syria.