Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Septemba 28, 2025 Local time: 20:36

Kenya: Shule zote zafungwa kwa ajili ya uchaguzi


Kenya: Shule zote zafungwa kwa ajili ya uchaguzi
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:57 0:00

Wadau wa elimu nchini Kenya wameshtumu agizo la serikali la ghafla la kuamrisha kufungwa kwa shule zote nchini humo baada ya wiki tatu tu shule kufunguliwa kufuatia kukamilika kwa muhula wa masomo.

XS
SM
MD
LG